Powiedz znajomym o tym przedmiocie:
Kiraka Cha Ukombozi
Mniko Chacha
Kiraka Cha Ukombozi
Mniko Chacha
Uongozi mzuri hutendea watu haki. MFUTA KAULI-kiongozi mkuu wa nchi ya Ukiwa ambaye hujinasibu kuwapenda watu anaowaongoza, tena husema mara kwa mara kuwa anawatendea haki. Mara kadhaa amewanyang'anya mashamba yao na kuuzia wawekezaji. Wananchi Wengi wa nchi ya Ukiwa ni watu wasio na elimu- ni watu wenye Ukiwa wa elimu na ufahamu. Katikati ya hayo yote anaibuka kijana aitwaye KIRAKA, anadhamiria kuikomboa jamii hii kutoka kwenye unyanyasaji wa MFUTA KAULI. Ujasiri wake katika kuziba matundu ya unyanyasaji na uonevu katika jamii ya nchi ya Ukiwa unaonyesha maana halisi ya jina lake. Kwa kufanya hivyo anajikuta ametangaza vita dhidi ya MFUTA KAULI. Maisha ya Kiraka yanabadilika na kuwa machungu, kila siku anawindwa na askari wa MFUTA KAULI. Watu wachache wanamuita mkombozi ila wengi wanamuona kuwa ni mtu hatari kwa usalama wa nchi ya Ukiwa. Hakati tamaa, anasonga mbele kwa ujasiri mkubwa. WASIFU WA MWANDISHI: MNIKO CHACHA ni mwandishi wa vitabu Vitano ambavyo ni;- Songs of African Fathers, Pains and Pleasures, Kiraka Cha Ukombozi, Weka Pesa Pata Pesa, na The Dump Digger. Pia ni mwanasheria kwa taaluma. Mwaka huu wa 2020 atachapisha riwaya mpya itakayojulikana Kwa jina la, I Will Pay Dowry and Wed (Nitalipa Mahari na kuoa).
84 pages
Media | Książki Paperback Book (Książka z miękką okładką i klejonym grzbietem) |
Wydane | 27 lutego 2020 |
ISBN13 | 9798618428774 |
Wydawcy | Independently Published |
Strony | 84 |
Wymiary | 152 × 229 × 4 mm · 122 g |
Język | Afrikaans |