Vitimbi vya Mama wa Kambo - Ally Yusufu Mugenzi - Książki - Mkuki Na Nyota Publishers - 9789987084081 - 3 grudnia 2020
W przypadku, gdy okładka i tytuł się nie zgadzają, tytuł jest poprawny

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Ally Yusufu Mugenzi

Cena
zł 119,90

Zamówione z odległego magazynu

Przewidywana dostawa 10 - 22 paź
Dodaj do swojej listy życzeń iMusic

Vitimbi vya Mama wa Kambo

Vitimbi vya Mama wa Kambo, Wivu, Radhi za Wazazi, Ra ki Maluuni, Mchumba Kaka na Adui Mama ni hadithi zinazosawiri jamii alimochipukia mwandishi, au kuishi na kufanya kazi akiwa polisi, mwandishi wa habari na mtangazaji wa redio katika nchi za Tanzania, Rwanda, Burundi na Uingereza kwa takriban miaka 40. Kitabu hiki ni matokeo ya maombi ya watu wengi waliomsikiliza akizisimulia katika kipindi cha Hadithi na Muziki cha Redio Rwanda katika miaka ya 1980 na 1990. Hadithi hizi pia zimekuwa zikitumiwa na wakuza mitaala wa Kiswahili nchini Rwanda shuleni na zimewafurahisha wapenzi wengine wa fasihi nje ya shule.

Media Książki     Paperback Book   (Książka z miękką okładką i klejonym grzbietem)
Wydane 3 grudnia 2020
ISBN13 9789987084081
Wydawcy Mkuki Na Nyota Publishers
Strony 162
Wymiary 129 × 198 × 10 mm   ·   149 g
Język Swahili