Powiedz znajomym o tym przedmiocie:
Dimbwi la Damu
Ben R Mtobwa
Dimbwi la Damu
Ben R Mtobwa
Alipoamua kwenda Kigoma, Joram Kiango alitarajia kupumzika, akiburudishwa na mandhari murua ya Ziwa Tanganyika lakini haikuwa hivyo. Likizo yake ilibadilika ghafla huku maisha yake yakiingia katika utata mkubwa.
Katika jitihada za kutatua utata huo, Joram Kiango anakabiliana uso kwa uso na mjumbe wa mauti, mwenye kiu kali cha damu na anayesheheni silaha zote. Mjumbe ambaye yuko tayari kwa lolote; tayari kufa, tayari kuua...
Media | Książki Paperback Book (Książka z miękką okładką i klejonym grzbietem) |
Wydane | 16 maja 1984 |
ISBN13 | 9789966561541 |
Wydawcy | East African Educational Publishers |
Strony | 104 |
Wymiary | 127 × 178 × 7 mm · 86 g |
Język | Swahili |